Siku thelathini za faraja

Kenya · Kiswahili · christianity · protestant

Wiki hii · 27 Jul – 2 Aug 2026

Zaburi kila siku na vifungu vya Injili kila wiki — siku thelathini za faraja.

Siku 22 · 2026-07-27

1-peter/5/7

— no source available offline today —

Reference cited; verse text could not be retrieved at print time. See /sources.

Siku 23 · 2026-07-28

john/14/27

Amani nawaachia, amani yangu nawapa, amani hii niwapayo si kama ile ulimwengu utoayo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiogope.

wldeh-bible · sw-swh · source

Siku 24 · 2026-07-29

john/16/33

Nimewaambia mambo haya, ili mpate kuwa na amani mkiwa ndani yangu. Ulimwenguni mtapata dhiki. Lakini jipeni moyo, kwa maana mimi nimeushinda ulimwengu.”

wldeh-bible · sw-swh · source

Siku 25 · 2026-07-30

luke/12/22

Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake: “Kwa hiyo nawaambia, msisumbukie maisha yenu kwamba mtakula nini; au msumbukie miili yenu kwamba mtavaa nini.

wldeh-bible · sw-swh · source

Siku 26 · 2026-07-31

lamentations/3/22

Kwa sababu ya upendo mkuu wa Bwana, hatuangamii, kwa kuwa huruma zake hazikomi kamwe.

wldeh-bible · sw-swh · source

Siku 27 · 2026-08-01

lamentations/3/23

Ni mpya kila asubuhi, uaminifu wako ni mkuu.

wldeh-bible · sw-swh · source

Siku 28 · 2026-08-02

psalms/55/22

Mtwike Bwana fadhaa zako, naye atakutegemeza, hatamwacha kamwe mwenye haki wake aanguke.

wldeh-bible · sw-swh · source