Siku 3 · 2026-07-29

Siku thelathini za faraja

john/16/33

Nimewaambia mambo haya, ili mpate kuwa na amani mkiwa ndani yangu. Ulimwenguni mtapata dhiki. Lakini jipeni moyo, kwa maana mimi nimeushinda ulimwengu.”

wldeh-bible · sw-swh · source

Kanga textile border — Swahili coastal tradition, Kenya & Tanzania.